Hiyo saluni itakuwa imekaa kishoga sanaHuduma kama
1. Kusafisha kucha
Wanaume wengi wanajisahau sana suala la usafi wa kucha, unakuta kucha zimeweka weusi pembeni, nadhan pia ndio wanachangia kuongezeka kwa UTI na infection kwa wadada, kucha sharti ziwe safi.
2. Kupuliza perfume
Wanaume wengi wanaharufu kali wengine asili wengine kutokuoga na kuzingatia usafi, saloon itakua na perfume za aina mbali mbali, unaoita unachagua perfume, unapuliza unaondoka
3. Midomo kukauka na kubanduka banduka, lipshine iwasaidie zitakuepo
4. Mafuta puani/ usoni na madude meupe meupe,
Na huduma nyinginezo, suala la usafi lisichukuliwe kirahisi rahisi hata kidogo.
Mimi nataka nikupe sapoti ya Mali ufanikie malengo Yako ww utak?Nina uhakika wewe ni Bwabwa, af nakuona unanifatilia sana.
Main point ya uzi ipo hapo βοΈ mwenye macho haambiwi tazama πNa huduma nyinginezo, suala la usafi lisichukuliwe kirahisi rahisi hata kidogo.
Huyu wa 2025 napiga hata akitaka Kwa siku mara 3Tutapata huduma ya donati?
View attachment 3420687
Tuzingatie neno "na huduma nyinginezo" hiyo ndo main pointMain point ya uzi ipo hapo βοΈ mwenye macho haambiwi tazama π
Wataalamu wakifika wakiulizia huduma nyingine kutoka kwa mtoa mada wataelekezwa chumba maalumu πTuzingatie neno "na huduma nyinginezo" hiyo ndo main point
Haszu ndio anaelekea huko hivyo jiandae kuipiga πHuyu wa 2025 napiga hata akitaka Kwa siku mara 3