Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Uko sahihi100%
Na wanaume wachache san ndo wanaelewa hili
 
Wiki mbili nyingi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hazivumiliki sijui niwe na shughuli gani hiyo ya kunifanya nikae wiki mbili bila hiyo kitu
Kwakweli ni nyingi labda nikiwa na mimba sijui kwakweli!
Mungu anipe mume muelewa tu,tuelewane[emoji23]
 
Niliwahi kuandika hapa siku za Nyuma kuwa kwenye sex life watu wamegawanyka makundi makuu matatu
1. Wale wenye sex drive ya juu ( wanapenda kufanya mapenzi hata kila siku for 7days)
2. Wale wenye sex drive ya kati; wanapenda kufanya mapenzi mara mbili au tatu kwa wiki
3. Wale wenye sex drive ya chini; wana penda kufanya mapenzi mara chache, pengine mara moja kwa wiki au kwa wiki mbili
Haya makundi yako kwa wanawake na wanaume

Hivyo kabla hujalaumu mtu ni vizuri pia ujue yupo kundi gani; LAKINI, MUHIMU PIA ni kujua kuwa kuna sababu nyingi zinazochangia watu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi; ya weza kuwa
1. Anamawazo (yaweza kuwa kuuguliwa na mtu wa karibu kama mama/baba au pengine umlidanganya wewe ni pedeshee kaja kukuta hela ni za mawazo)
2. Kugombezwa au kusemwa semwa kama mtoto
3. Uchovu wa kazi nyingi ( za weza kuwa za Nyumbani au huko anakofanya)
4. Uchafu wa mtu (mtu asiyependa kuoga mara kwa mara/kupiga mswaki nk)
5. Humtoshelezi ( unajiangalia wewe utimize haja yako bila kumfikiria na yeye)
6. NK
 
Aiseeeee
 
I met a girl one day akanipongeza sana kuwa ameenjoy na hajawa feeling good before me, nikamwambia why baby, akasema yaan wengine wanamsumbua tu na kumchafua bila reason, since yet the girl finds me on her phone but am busy with the upcoming wife.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

I doubt it. Au labda kwa kuwa unapiga kikristo kimesimama mkuu

Carleen
 
Siku unatoka mtoko unampeleka hata kahotel kazuri mnalala huko. Outing zinasaidia sana shida jamaa anamwacha wife home tu[emoji23][emoji23]
Nyinyi mpotosheni mwenzenu tu afilisike.

Mwanamke hotel au outing apelekwe tu out of love sio eti kushajihisha sex. That's a very bad mentality na haya yote mnaletewa na hivi vi slay queens huko mitaani.

Shauri yenu
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

I doubt it. Au labda kwa kuwa unapiga kikristo kimesimama mkuu

Carleen
Hahaha mbali na kikiristo nilikuwa namfanya anasikia kama yupo na mzungu zile ooh ghoshiiiii! come on baby gal can i touch ur boobs slightly with lips, inshort alienjoy moment fulani, mara little glass of wine. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚navile natokea pande za Kili town akasurrender show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…