Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Acheni kuchosha wanaume, daily mna kisa na sababu! Mtu kaacha wanawake woote kakuoa, still kwenye ndoa aendelee kuhangaika daily kutafuta pipi kijiti, chokoleti, sijui magauni hata kama hana hela ili tu apewe papuchi ambayo ameilipia mahali na kuamin angekula had kushiba.

Kwa vile mtu hataka kukupa kei una andaa lak na 70 kumpeleka hotel walau yenye chumba kizuri, mafuta umeweka ya 50,000 vyakula na vinywaji pale ndani 70,000
Just lak 3 imeondoka kwa siku moja kwa kugharamia kei ya mkewe na mkirud nyumban next day anarejea tabia yake.

Mkuu ushauri wangu ni huu

Usitake kumridhisha mwanamke kwa kila atakavyo hutaweza na ni vigeu geu, leo utampa hiki na kile atafurahia sana ipo siku utakuja na hicho hicho ukanuniwa sanaaa.

Pili mwanamke anaeumiza hisia ni yule uliyekuwa unafanya kila atakacho tena muda mwingine zaidi ya uwezo wako, mzaz kijijin umemnyima elf 30 ya shamba ukampa laki mmoja umpendae siku akikuacha utakumbuka matukio kama haya na yanaumizaga mno mno.

La muhimu ishi nao easy not to the maximum.

Toka enzi na enzi za wazee wetu walikuwa na michepuko eti sisi tuliozaliwa juzi tunakuja na ukisasa na kujifanya tunabadili kila tulichokikuta mwisho wa siku tunatembea njian huku tukiongea peke yetu na baadhi kufa mapema sabab ya ndoa.

We live once, ukichagua chungu ujue ndo imetoka tamu unayosubir utaiona huko tunakokufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa chapisho lako. Naenda kumuacha!
 
Finally usiku uliisha vizuri tu
emoji6.png
, akizingua tena , nitalala nje one night hadi aelewe somo.
Sema una struggle sana mkuu...

Pole. Ila vumilia tu. Ndoa ndoano.
 
Huwa anatoa sababu gani?

Fanya ujue, huenda mechi hairidhishi au anakua kasharidhishwa au naturally hana high sex drive.
Mtafutie wewe Mhemko pia badirisha Viwanja sio kila Siku kwa Mkapa tu Out pia Muhimu sio kila siku kula uswazi au Home tu ukipata Nenda Viwanja adimu vya misosi Town
 
Wana jamvi salaam,

Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.

Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2, nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu.

Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima. Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka, ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu. Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :

Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
.
.
.

Mrejesho March 17, 2022
Mwaka jana nilipoleta uzi huu alipojifanya hana hamu nami niliamua kumsusia for about a week alipoonyesha kuhitaji nikasusa nikageukia upande wa pili[emoji23], usiku ulikuwa mrefu kweli, siku ya pili alipoonyesha kuhitaji uzalendo ukanishinda nikasema ah mwanaume asusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], bac baada ya hapo nikaamua kumweleza kuwa wiki 2 halafu hata hamna tendo ni kujikomoa wenyewe , sio afya katika ndoa, akakubali bac ikawa at least twice or thrice a week and I was fine about it .
Sasa Kimbembe kimekuja from February to this March, yaani kama vile amejisahau tena, yaani only once a week tena lazima nimbembeleze weee kama vile unamtongoza upya tena kitandani [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19], (kwa kifupi nadhani ndio yeye anaenjoy kubembezwa) as if mimi ndio nina shida saana ya sex,
Sasa 10 days ago tukatoka out tukaenjoy kweli , on top of that while tupo kwenye mtoko nikapata habari nzuri ambayo for sure it has changed my career in a very positive way, kwasababu niliikuwa naipigania hiyo opportunity since January.
Kwa kweli tulifurahi sana, nilitegemea usiku utakuwa mzuri , dah sasa tumefika home, mara hataki kama kawaida yake, bac mzee baba nikasema acha nimbembeleze, dah ikawa kama vile namlazimisha ikafika point nikahisi kama vile nambaka [emoji33][emoji33][emoji33] yaani anakunja sura kama vile nini , hata haijaingia yaani dah , nikamuuliza kwani shida nini mbona siku tumeanza vizuri mbona unaharibu , akasema we tufanye tu , nikajaribu kuendelea yaani jamaa chini kanisaliti hajainuka tena yaani kama yeye ndio kasusa( for first time I attempted to have sex ikatokea hivyo) , bac nikamwambia babe tulale tu.
Kesho yake kadi nyekundu siku 4 zikapita , sasa kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua yaani huyu chumbani simgusi tena , yaani jioni baada ya kurudi kazini tutapika tutakula, akisema oh kichwa kinauma sijui uchovu, mimi jibu langu mpenzi usijali ule ulale mapema, tena sometimes nikawa nampikia kabisa [emoji16], akiingia kulala tu , mimi naangalia TV hadi saa 6 usiku.
It was hard ila nikasema hii experiment lazima niitimize.
Sometimes tumkimaliza kula tu nawahi kitandani akija najifanya nakoroma mbaya [emoji23][emoji23][emoji23] .
Though niliona kama vile amestukia plan yangu.
Mimi ni mashabiki wa wapiga mizinga wa London sasa jana nikaona acha nikaone chama langu maana wanaupiga mwingi kweli,
Mechi vs Majogoo ilikuwa saa tano usiku, nikaona sasa ngoja nikaangalie kibanda umiza , maana hata umuhimu wa kulala mapema home hamna.
Saa sita kasoro simu inaita oh uko wapi , nikamwambia nipo nacheki boli, dah nikaona poa acha niende home, dah nikakuta mtu huko na presha juu "oh umeondoka usiku hujaniambia ,naye sasa akaamua kufunguka , akahisi nimetoka kwa mchepuko, mara naona kama mapenzi yamepungua, kwa vile sijamgusa wiki mbili almost , sio kawaida, na Finally akasema ubize wa kazi yake amejisahau kumbuka mimi nipo" nikaona ohooo nimeharibu, but I was glad kuwa ameona makosa yake,
Cha msingi ujumbe amepata kuwa na mimi naweza kupotezea na wanaume tukiamua kumpotezea mke hatuchelewi kutia mimba mtu huko [emoji23][emoji23][emoji23].
Nilichojaribu kumuonyesha ni kuwa pamoja na kuwa mimi sijapata mchepuko ila inawezekana kabisa na sababu anaweza akawa ni yeye kwa 50%.
Finally usiku uliisha vizuri tu [emoji6], akizingua tena , nitalala nje one night hadi aelewe somo.
Ila mimi kuchepuka sioni ni suluhisho.

Pole sana ndugu yangu Generaly wanawake Walio wengi (Si wote) ni selfish.Ndiyo maana atataka akipata hamu aridhishwe yeye,ikiisha umwache hapo hapo.akiwa na shida ya hela apewe yeye usimwambie huna.kukiwa na tatizo upande wa nyumbani kwao ufanye haraka kulishughulikia ila tatizo la upande wa nyumbani kwenu siku zote halina maana na ukitaka kushughulikia unaonekana kama unapoteza hela za familia.Lakini pia wana dynamics nyingi sana kwenye system zao za mwilini.dynamics hizi zina haribu kwa haraka moods. matatizo mengine ni msongo wa mawazo labda wa madeni ya vikoba nk.au kuchelewa kupata mtoto au masimango flan flani.Botom line muchukulie ni mgonjwa hafanyi hivyo kwa kupenda kwa sababu haikuwa hivyo.Inawezekana Mungu anakuandaa kwa kitu flani

ILA NAKUPONGEZA JINSI ULOVYOMALIZIA HAPO MWISHO KWAMBA HUFIKIRII KUCHEPUKA.NAKUONA NI MIONGONI MWA WANAUME WACHACHE WALIOKWISHA KOMAA KIFIKRA

Ipo siku Mungu ataingilia kati hiyo changamoto yako maadamu unamwamini
 
Ongea naye kwanza kabla hujachukua maamuzi haya hatari..ongea naye kwa utulivu na upendo kisha zijali hisia zake
Mbona bado huyo Kuna watu tupomkifungini mwezi wa6 na tunadunda tushafanya maamuzi
 
Ongea naye kwanza kabla hujachukua maamuzi haya hatari..ongea naye kwa utulivu na upendo kisha zijali hisia zake
Mzee mshana..hivi Kwa issue ya tendon la ndoa Kuna kukaa na kuelimishana kweli HASA mkiwa Wana ndoa? Yaaan unakaaa unaongea Kwa upole na mke wako.... Umetoka kazini unapotakiwa upumzike ndo inaanzia kuelimisha mtu kuhusu UMUHIMU WA Hilo tendo. Ndoa zinasumbua, na wanawake wa namba hiyo ni wengi,
Kuna mwanamke ambaye hutumua sex kama silaha yake ili mume wake amtimizie mambo yake,, utasikia pale unapoanza sex anaanza kuongea mipango yake.
Mwingine anaona tendo la ndoa ni mfumo dume...yaaan ni mateso wanayofanyiwa wanawake,
Mwingine ni ubinafsi, kwamba anajiwazia yeye tu.. yaaan umwache mpaka awe na uhitaji... HAYA NI MAMBO YA WANAWAKE WASIOFUNDWA..
Mwanamke ameumbwa Kwa ajili ya mwanaume, Sina haja ya kumbembeleza...kikubwa anashika mimba... Mengine nitajipooza nje, mbunye ni nyingi mno...
 
Wana jamvi salaam,

Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.

Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2, nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu.

Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima. Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka, ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu. Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :

Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
.
.
.

Mrejesho March 17, 2022
Mwaka jana nilipoleta uzi huu alipojifanya hana hamu nami niliamua kumsusia for about a week alipoonyesha kuhitaji nikasusa nikageukia upande wa pili[emoji23], usiku ulikuwa mrefu kweli, siku ya pili alipoonyesha kuhitaji uzalendo ukanishinda nikasema ah mwanaume asusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], bac baada ya hapo nikaamua kumweleza kuwa wiki 2 halafu hata hamna tendo ni kujikomoa wenyewe , sio afya katika ndoa, akakubali bac ikawa at least twice or thrice a week and I was fine about it .
Sasa Kimbembe kimekuja from February to this March, yaani kama vile amejisahau tena, yaani only once a week tena lazima nimbembeleze weee kama vile unamtongoza upya tena kitandani [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19], (kwa kifupi nadhani ndio yeye anaenjoy kubembezwa) as if mimi ndio nina shida saana ya sex,
Sasa 10 days ago tukatoka out tukaenjoy kweli , on top of that while tupo kwenye mtoko nikapata habari nzuri ambayo for sure it has changed my career in a very positive way, kwasababu niliikuwa naipigania hiyo opportunity since January.
Kwa kweli tulifurahi sana, nilitegemea usiku utakuwa mzuri , dah sasa tumefika home, mara hataki kama kawaida yake, bac mzee baba nikasema acha nimbembeleze, dah ikawa kama vile namlazimisha ikafika point nikahisi kama vile nambaka [emoji33][emoji33][emoji33] yaani anakunja sura kama vile nini , hata haijaingia yaani dah , nikamuuliza kwani shida nini mbona siku tumeanza vizuri mbona unaharibu , akasema we tufanye tu , nikajaribu kuendelea yaani jamaa chini kanisaliti hajainuka tena yaani kama yeye ndio kasusa( for first time I attempted to have sex ikatokea hivyo) , bac nikamwambia babe tulale tu.
Kesho yake kadi nyekundu siku 4 zikapita , sasa kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua yaani huyu chumbani simgusi tena , yaani jioni baada ya kurudi kazini tutapika tutakula, akisema oh kichwa kinauma sijui uchovu, mimi jibu langu mpenzi usijali ule ulale mapema, tena sometimes nikawa nampikia kabisa [emoji16], akiingia kulala tu , mimi naangalia TV hadi saa 6 usiku.
It was hard ila nikasema hii experiment lazima niitimize.
Sometimes tumkimaliza kula tu nawahi kitandani akija najifanya nakoroma mbaya [emoji23][emoji23][emoji23] .
Though niliona kama vile amestukia plan yangu.
Mimi ni mashabiki wa wapiga mizinga wa London sasa jana nikaona acha nikaone chama langu maana wanaupiga mwingi kweli,
Mechi vs Majogoo ilikuwa saa tano usiku, nikaona sasa ngoja nikaangalie kibanda umiza , maana hata umuhimu wa kulala mapema home hamna.
Saa sita kasoro simu inaita oh uko wapi , nikamwambia nipo nacheki boli, dah nikaona poa acha niende home, dah nikakuta mtu huko na presha juu "oh umeondoka usiku hujaniambia ,naye sasa akaamua kufunguka , akahisi nimetoka kwa mchepuko, mara naona kama mapenzi yamepungua, kwa vile sijamgusa wiki mbili almost , sio kawaida, na Finally akasema ubize wa kazi yake amejisahau kumbuka mimi nipo" nikaona ohooo nimeharibu, but I was glad kuwa ameona makosa yake,
Cha msingi ujumbe amepata kuwa na mimi naweza kupotezea na wanaume tukiamua kumpotezea mke hatuchelewi kutia mimba mtu huko [emoji23][emoji23][emoji23].
Nilichojaribu kumuonyesha ni kuwa pamoja na kuwa mimi sijapata mchepuko ila inawezekana kabisa na sababu anaweza akawa ni yeye kwa 50%.
Finally usiku uliisha vizuri tu [emoji6], akizingua tena , nitalala nje one night hadi aelewe somo.
Ila mimi kuchepuka sioni ni suluhisho.
Ina maana ulivyofunga ndoa hukupewa hizi dondoo?
 
Hawa viumbe hatareee! Biblia iliandika ishini nao kwa akili, vile vile ni suala la kutumia akili yako tu cha msingi maisha yaendeleee
 
Una umri wa miaka mingapi tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom