Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Asante kwa chapisho lako. Naenda kumuacha!
 
Huwa anatoa sababu gani?

Fanya ujue, huenda mechi hairidhishi au anakua kasharidhishwa au naturally hana high sex drive.
Mechi haimridhishi hasingekubali kuolewa.
 
Huwa anatoa sababu gani?

Fanya ujue, huenda mechi hairidhishi au anakua kasharidhishwa au naturally hana high sex drive.
Mtafutie wewe Mhemko pia badirisha Viwanja sio kila Siku kwa Mkapa tu Out pia Muhimu sio kila siku kula uswazi au Home tu ukipata Nenda Viwanja adimu vya misosi Town
 

Pole sana ndugu yangu Generaly wanawake Walio wengi (Si wote) ni selfish.Ndiyo maana atataka akipata hamu aridhishwe yeye,ikiisha umwache hapo hapo.akiwa na shida ya hela apewe yeye usimwambie huna.kukiwa na tatizo upande wa nyumbani kwao ufanye haraka kulishughulikia ila tatizo la upande wa nyumbani kwenu siku zote halina maana na ukitaka kushughulikia unaonekana kama unapoteza hela za familia.Lakini pia wana dynamics nyingi sana kwenye system zao za mwilini.dynamics hizi zina haribu kwa haraka moods. matatizo mengine ni msongo wa mawazo labda wa madeni ya vikoba nk.au kuchelewa kupata mtoto au masimango flan flani.Botom line muchukulie ni mgonjwa hafanyi hivyo kwa kupenda kwa sababu haikuwa hivyo.Inawezekana Mungu anakuandaa kwa kitu flani

ILA NAKUPONGEZA JINSI ULOVYOMALIZIA HAPO MWISHO KWAMBA HUFIKIRII KUCHEPUKA.NAKUONA NI MIONGONI MWA WANAUME WACHACHE WALIOKWISHA KOMAA KIFIKRA

Ipo siku Mungu ataingilia kati hiyo changamoto yako maadamu unamwamini
 
Ongea naye kwanza kabla hujachukua maamuzi haya hatari..ongea naye kwa utulivu na upendo kisha zijali hisia zake
Mbona bado huyo Kuna watu tupomkifungini mwezi wa6 na tunadunda tushafanya maamuzi
 
Ongea naye kwanza kabla hujachukua maamuzi haya hatari..ongea naye kwa utulivu na upendo kisha zijali hisia zake
Mzee mshana..hivi Kwa issue ya tendon la ndoa Kuna kukaa na kuelimishana kweli HASA mkiwa Wana ndoa? Yaaan unakaaa unaongea Kwa upole na mke wako.... Umetoka kazini unapotakiwa upumzike ndo inaanzia kuelimisha mtu kuhusu UMUHIMU WA Hilo tendo. Ndoa zinasumbua, na wanawake wa namba hiyo ni wengi,
Kuna mwanamke ambaye hutumua sex kama silaha yake ili mume wake amtimizie mambo yake,, utasikia pale unapoanza sex anaanza kuongea mipango yake.
Mwingine anaona tendo la ndoa ni mfumo dume...yaaan ni mateso wanayofanyiwa wanawake,
Mwingine ni ubinafsi, kwamba anajiwazia yeye tu.. yaaan umwache mpaka awe na uhitaji... HAYA NI MAMBO YA WANAWAKE WASIOFUNDWA..
Mwanamke ameumbwa Kwa ajili ya mwanaume, Sina haja ya kumbembeleza...kikubwa anashika mimba... Mengine nitajipooza nje, mbunye ni nyingi mno...
 
Ina maana ulivyofunga ndoa hukupewa hizi dondoo?
 
Hawa viumbe hatareee! Biblia iliandika ishini nao kwa akili, vile vile ni suala la kutumia akili yako tu cha msingi maisha yaendeleee
 
Una umri wa miaka mingapi tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…