Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Ndiyo unatakiwa udadavue kwa mifano kuntu ili mtu ajue nini tofauti kati ya
1. Tendo la ndoa na ngono
2. Mcheza X na mtu aliyeoa
Asante na Pasaka Njema kwako pia

Hivi hata hili linaitaji maelezo?
Ukichukua mlupo ukaenda nalo geto unafanya ngono
Demu wako huyo mnafanya ngono
Tendi la ndoa ni tendo linalohusisha wanandoa walio owana kwa taratibu zote
Hata hao wacheza x kama wameowana basi wanafanya tendo la ndoa but wide[emoji2226]
 
With all that Mr. R Mbuna how did you reached the point mpaka sasa huteseki mbususu as it was in last time uvokuwa unanyimwa, kwanza type of woman matters.
 
Hii pia ni kweli, vizawadi vinaleta stimu sana

Kingine sio kila siku kusex home tu, siku nyingine unafanya vacation, hotel at least hayachoshi

Women are full of suprises

Siku unatoka mtoko unampeleka hata kahotel kazuri mnalala huko. Outing zinasaidia sana shida jamaa anamwacha wife home tu[emoji23][emoji23]
 
We kama huna hela kausha, mbususu utaisikia bombani tu
 
Naona unapenda ngono sana? Unafikiri kwanini Mungu hakumpa Adam mke zaidi ya mmoja? Amri kuu ya ndoa ndiyo inaanzia hapa. Hao wanawake wawili ni kuhalalisha uzinzi na usherati
Na wewe nikuulize kwa nn adam hakupewa ila Suleiman alipewa wake 700 [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F2LTE using JamiiForums mobile app
 
Tulikwambiaga ni swala la muda ukajifanya unampenda sana mkeo, Nyege hazinaga Mbabe chief...Haya sogea kwa mwenyekiti hapo akusainie kadi ya uwanachama wa mabaharia [emoji74]
Kama hatojali nimuunganishe na Zaina wa Charambe. Mtoto anato.mbana mpk unaona usiku mfupi hachoki na akunyimi ni full mauno ya uzazi mpk uombe poo mwenyewe. Me nilikimbia shoo, ya nini nifie kiunoni
 
Wanawake mkuu achana naoo ndoa bila Mchepuko utapata tabu sanaaa...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kuna bodaboda anakusaidia kwa Shem. Chunguza
 
Uzazi wa mpango umeleta mabadiliko ktk miili ya wanawake wengi, life style hasa ya vyakula unakuta mwanamke anakula vyakula vikavu kuanzia asbh mpk usiku utegemee awe na ashki!!

Kwa ujumla nachoelewa hisia za kufanya ngono kwa mwanamke inatokea sehemu nyingi,
Utulivu wa kiakili
Awe na mapenzi na wewe
Vyakula rojorojo
Usafi na mpangilio wa mazingira ya ufanyaji ngono
Majukumu yasiyohitaji nguvu sana za kiakili wala kimwili

Pole mkuu kwa maumivu unayopitia by the way wanawake wengi by nature sex drive iko chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…