Mtaji huo sio mbaya sana inategemea uko maeneo gani, duka ni lako?, au bei ya kupanga ni sh ngapi, mkataba ni wa kulipa miez mingap na mtaji wa vifaa utabak sh ngap baada ya kulipia pango.Habari zenu wana jamvi. Nna mtaji wa sh 10 milioni za tz nataka niziweke ktk hii biashara. Kiufupi natka ni deal na pipe, clumbing fiting zte, pamoja na toilet na ceramic items. Kuhusu maeneo c mabaya kawni shuhuli za ujenz znafanyika kwa kasi. Tatizo cjui kma mtaji unaweza kutosha au la manake sina uelewa na hii kitu. Nawasilish!
Habari zenu wana jamvi. Nna mtaji wa sh 10 milioni za tz nataka niziweke ktk hii biashara. Kiufupi natka ni deal na pipe, clumbing fiting zte, pamoja na toilet na ceramic items. Kuhusu maeneo c mabaya kawni shuhuli za ujenz znafanyika kwa kasi. Tatizo cjui kma mtaji unaweza kutosha au la manake sina uelewa na hii kitu. Nawasilisha!
BORING, yaani kila post una copy na kupaste huyu KIFARO,we vipi lakiniiiiKatika biashara ni hatari sana kuwekeza kwenye mradi mmoja (Concentration Risk) kwani ukipata hasara basi umepoteza kila kitu. Ni muhimu sana kupanga kuyaweka mayai yako kwenye makapu tofauti ili kapu moja likioza kwa sababu yai moja limeoza ndani ya kapu hilo basi makapu mengine yasalimike na hivyo kukuwezesha kuendelea na biashara yako (Diversification).
Kama unafikiria diversification basi ushauri wangu ni kufikiria mradi wa Rifaro kwani vyanzo vyake vya hasara (Risk Profile) vinatofautiana sana na biashara za kawaida tulizozizoea na hivyo itakusaidia ku diversify risk ya kuwekeza kwenye miradi ambayo ina risks zinazoshabihiana.
Toa TZS 128,500 tu kwenye hizo hela zako uwekeze kwenye mradi wa Rifaro zilizobaki wekeza kwenye mradi utakaoamua kuufanya.
Kwa maelezo ya kina kwa nini uwekeze kwenye mradi wa Rifaro soma thread hii hapa
Kwa nini utumie simu yako ya mkononi bila kulipwa wakati kuna Rifaro?
BORING, yaani kila post una copy na kupaste huyu KIFARO,we vipi lakiniiii
Ni more than boring.....Ila huyu rifaro anaboa kwa kweli