saleemu
Member
- Oct 14, 2015
- 12
- 0
Habari zenu wana jamvi. Nina mtaji wa sh 10 milioni za Tanzania nataka niziweke katika hii biashara.
Kiufupi nataka ni deal na pipe, clumbing fiting zote, pamoja na toilet na ceramic items.
Kuhusu maeneo c mabaya kwani shuhuli za ujenzi zinafanyika kwa kasi. Tatizo cjui kama mtaji unaweza kutosha au la manake sina uelewa na hii kitu.
Nawasilisha!