SuperEnthusiasis
Member
- Feb 4, 2023
- 39
- 87
Kuwa na ofisi na ifanye kazi mbona utapata watu tena watu makini tofauti na hapo hakuna atakaekuamini.shida kubwa niliyoiona katika hili ni kutokuaminiwa na watu. sasa suluhisho nililolifikiria ni kuwa niwe na ofisi hapa dar na niisajili ili watu wawe wanaenda pale kwa ajili ya kulipia na kuchukulia mizigo yao.
Mtafute mtu ambaye unajua kabisa yupo kwenye hizo biashara ndo akupe ushauri. Huku JF kila mtu atasema la kwake.Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimefikiria namna ya kuongeza kipato changu nikapata njia ya kwenda china ili niwe naagizwa na wabongo wenzangu niwatafutie bidhaa na kuwaagizia, ili walau niwe napata kiasi kidogo cha pesa.
Pia niwe natafuta machimbo ya vitu vya bei rahisi na kuwaonyesha kwa kupitia social medias.
shida kubwa niliyoiona katika hili ni kutokuaminiwa na watu. sasa suluhisho nililolifikiria ni kuwa niwe na ofisi hapa dar na niisajili ili watu wawe wanaenda pale kwa ajili ya kulipia na kuchukulia mizigo yao.
Kama kuna mtu mwenye ujuzi wa hili swala naomba anipe abc's ili nichukue hatua au nisitishe.
Karibuni kwa ushauri.
Hilo nimeliona ndugu yanguKuwa na ofisi na ifanye kazi mbona utapata watu tena watu makini tofauti na hapo hakuna atakaekuamini.
Aisee....Ata LBL walikuwa na ofisi.
Hapa labda Kibenje KK aje atueleweshe.Mtafute mtu ambaye unajua kabisa yupo kwenye hizo biashara ndo akupe ushauri. Huku JF kila mtu atasema la kwake.
Kila la heriHilo nimeliona ndugu yangu
ππππ«Ata LBL walikuwa na ofisi.