Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

Kwani unatokea nchi gani? Kama unatokea Taifa la Tanganyika, wewe nenda tu. Watakupokea kwa mikono miwili na kukuonesha Hotel ya hadhi yako maana hivyo visiwa vya Zanzibar ni Makoloni yetu tangu 26/04/1964.

Tuliwadanganyia kitu kinachoitwa 'Muungano'

Daaah!!! hii inafikirisha sana. Inachomachoma na Inaumiza. Ila kwa mbaliiiii!!!! Kuna chembechembe za Ukw...
 
Kessy haipendi Zanzibar.

Anasema hata mgawanyo wa majimbo Zanzibar unakuta mbunge anawakilisha wananchi 17 au familia yake na analipwa sawa na mbunge anaewakilisha watu milioni 2 huku Bongo na pesa ya jimbo anapewa sawa sawa na wenzake.

Kessy yuko sahihi sema huu muungano wetu unalindwa kwa maslahi ya watu hawataki kuzungumzia hilo. Hofu yangu ni kwamba huu muungano unaonekana unalindwa na chama tawala, kikiingia chama kingine kinavunja huu muungano.
maslahi kivipi?
 
Back
Top Bottom