Kessy haipendi Zanzibar.
Anasema hata mgawanyo wa majimbo Zanzibar unakuta mbunge anawakilisha wananchi 17 au familia yake na analipwa sawa na mbunge anaewakilisha watu milioni 2 huku Bongo na pesa ya jimbo anapewa sawa sawa na wenzake.
Kessy yuko sahihi sema huu muungano wetu unalindwa kwa maslahi ya watu hawataki kuzungumzia hilo. Hofu yangu ni kwamba huu muungano unaonekana unalindwa na chama tawala, kikiingia chama kingine kinavunja huu muungano.