Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria
Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na hatuoni dalili zozote za Bei kupungua ,lakini pia bidhaa znyingine Kama unga ,Kodi ya pango,na maharage Ni Kama zimedouble Mara mbili.mfano mtu anayepokea 440000 Ni vigumu sana kwa sasa hivi kumudu gharama za maisha,lakini bado Kuna hata wengine wapo chini ya hapo,