ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,154
- 4,184
Habari za usiku huu wadau:
Nimeshatandika milk stout kadhaa na kichwa changu kiko mahali pake,kabla sijalala wacha niwachangamshe wadau wangu wakeshaji juu ya suala la nafsi,NAFSI ILIYOFARAKANA.
Katika maisha kuna changamoto nyingi lakini kubwa ni nafsi iliyofarakana.
Utajuaje nafsi yako imefarakana:
Kama kuna dalili nyingine ongeza ila niko aundi ya tatu ya Milk Stout |Kubwa leo.Wat wa Bara hatutaki mchezo

- Dalili ya kwanza ni kupinga kila kitu na kukubali kila kitu
- Dalili ya pili ni kuona unaonewa hata pale ambapo we ndo mbabe
- Dalili ya tatu ni undezi,yaani unapomfumania mpenzi wako laivu halafu bado unakuwa unapenda kuendelea kuwa nae
- Dalili ya tano ni kuogopa kukosoa kwa sababu unaogopa kuonekana mbaya
- Dalili ya tano ni kuogopa kuhonga kwa sababu unaogopa kuchunwa
- Dalili ya sita ni kujenga bonge lajumba halafu huna hata mchumba wa kuoa
- Dalili ya saba ni kukesha klabu ukinywa soda halafu unaondoka bila demu
- Dalili ya nane ni kufanya interview ya kazi halafu ukiitwa unaogopa kuacha kazi hapo ulip
- Dalili ya nane ni kuogopa kupost kwa sababu unaogopa kuwekwa gerezani
- Dalili ya tisa ni kukataa mimba halafu unaenda kuona mtoto kama amefanana na wewe
- Dalili ya kumi ni kulipia wanaume wenzako aundi tatu halafu wao hawajalipa hata moja
- Dalili ya kumi na moja ni kulala chumba kimoja na demu halafu mkuyenge nao una lala
- Dalili ya kumi ni kubeba mimba ya mwanaume halafu unaogopa kumwambia
Kama kuna dalili nyingine ongeza ila niko aundi ya tatu ya Milk Stout |Kubwa leo.Wat wa Bara hatutaki mchezo