T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Kupitiwa na mabingwa ni hoja ya kitoto
Kwanza mabingwa wenyewe wazungu, ile ngozi inaweza ikauona udini kwenye maandishi yako na ikakaa kimya ili uje utuvuruge
Kwanza mabingwa wenyewe wazungu, ile ngozi inaweza ikauona udini kwenye maandishi yako na ikakaa kimya ili uje utuvuruge
Steve...
Nimekueleza kuwa kazi zangu zimepitiwa na mabingwa na hakuna hata mmoja aliyeona kuwa kuna dini ndani yake.
Tatizo lako wewe unataabika kwa kuwa historia hii ni historia ya Waislam.
Unashindwa kutofautisha baina ya Waislam na Uislam.