Nafsi inapoghadhibika

Kupitiwa na mabingwa ni hoja ya kitoto

Kwanza mabingwa wenyewe wazungu, ile ngozi inaweza ikauona udini kwenye maandishi yako na ikakaa kimya ili uje utuvuruge
Steve...
Nimekueleza kuwa kazi zangu zimepitiwa na mabingwa na hakuna hata mmoja aliyeona kuwa kuna dini ndani yake.

Tatizo lako wewe unataabika kwa kuwa historia hii ni historia ya Waislam.

Unashindwa kutofautisha baina ya Waislam na Uislam.
 
Kupitiwa na mabingwa ni hoja ya kitoto

Kwanza mabingwa wenyewe wazungu, ile ngozi inaweza ikauona udini kwenye maandishi yako na ikakaa kimya ili uje utuvuruge
T11,
Ikiwa unaona nina hoja za kitoto na wewe hoja zako ndiyo barabara kwangu ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…