Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

Una tafuta basha siyo bure, soma kuanzia mwanzo kama una akili hata za kuvukia barabara tu utaelewa nani ugomvi?

Au wewe unataka kutatuliwa? Stupid (in Samia voice)
Watu wote wenye akili timamu angalia komenti zao namna zilivyo za hoja!.

Wewe na Utahira wako umekurupuka kutoka chooni na Dr yako ya kuokota jararani umeamua kuja kujivua nguo kwa kuuweka ujinga wako hadharani!
 
Nimekushauri ujenge hoja wewe badala yake unanitukana na mimi,hivi kweli kichwani uko timamu?
Achana nae huyo mkuu ana frustration za maisha zinamsumbua anakuja jf kumalizia kwenye threads za watu
 
Tafuta hela mkuu. U seem to be so desperate
Mataahira kama wewe ndio wanadhani kila mtu ana shida ya pesa.

Mimi sina shida ya pesa, Nina vipaumbele vingine kabisa hakuna mtu hasiye na pesa tunazidiana viwango tu.
 
Lamli Chonganishi hizo mkuu.
Nguvu za ziada zipoje mkuu🙄.
Naona kama umejaribu kimsifia kuwa wimbo ni mzuri.
Kama wimbo ni mzuri umekubali maneno mengine ya nn,na ndo maana mnaanza kuraruwana na PhD.

Maelezo yako ndo mtazamo wako,ila umejaribu kuwaaminisha watu wote kuwa imebuma,irihali sio kweli mkuu.

Ni haki yake kuumpromote,maana yeye ndo anajua afanye Nini mkuu.

Kazi ni yake,hivyo anajua wnachokifanya.Swala la kuanza kuleta Lamli mkuu sio poa.
 
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla.

Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks.( jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa kaliba yake) In every comment he must mention his song. Yani anakuwa kama wale wauza dawa za nguvu za kiume na waganga wanao tangaza dawa zao kwenye comment sections za watu wengine...
Jambo hili lina mfanya aonekane yupo musically desperate.

Joh, it is high time now ukubaliane na matokeo kuhusu mapokezi ya wimbo bobea..

Kubali kwamba watu hawaja upokea.

Inaonekana ulikuwa na matarajio makubwa sana kuhusu wimbo lakini kuwa dis appointed ni jambo la kawaida in music business.

Inaonekana umetumia gharama nyingi sana kwenye huo wimbo kama vile kumlipa msanii wa Nigeria ambae wimbo wako wa bobea unaendana kivionjo na wimbo wake.

Fanya upya research yako,.nenda studio uje na wimbo mwingine.
Tatizo amekaa kimya kwa muda mrefu.
Ametoka/amepotea masikioni mwa mashabiki
 
Back
Top Bottom