Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Nakubaliana na wewe, wajinga wa asili au kuusomea (our education system)Naamini Watanzania akili wanazo sema hawajuwi kuzitumia tu, ni wajinga wa asili na wa kusomea ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe, wajinga wa asili au kuusomea (our education system)Naamini Watanzania akili wanazo sema hawajuwi kuzitumia tu, ni wajinga wa asili na wa kusomea ujinga.
Wahusika watakubali? We all know viongozi (si wote) hata kujenga hoja hawaweziNafikiri nasisi pia tunashida.
Kama hiyo midahalo ni open discussion kwanini tusishiriki nasisi tutoe maoni yetu.
Kwa maneno hayo ni dhahiri wewe tayari umekuwa zumbukuku tena yule aliyepitiliza kupita hao unaowasema, Bulito na Nyerere wako ni nani hadi eti watuachie laana! Ni kweli Nyerere alikuwa kiongozi wa Watanzania lakini hana uwezo wa kuwaachia laana Watanzania kwa sababu Watanzania siyo wanawe wala wajukuu zake labda huko kwenu na machawa wenzako mnaomsujudia na kumuabudu binadamu mwenzenu.Aisee Kuna namna yawezekana hili Taifa tulimkosea chief Bulito na uenda hata Nyerere kabla ya kufa aliacha laana kwenye hili Taifa,Benjaminj Mkapa alipaswa atueleze ukweli uenda alikuwa anajua ila akakausha kila mtu afe kivyake!
Nilikuwepo kwenye Kongamano lile. Niliwahi kuondoka tokana na ujinga uliokuwa unaongelewa.Yaani ni Aibu aibu aibu aibu!
Kwenye hili nakuunga mkono, halafu ujuaji mwingi, wivu, husda na uchawiNaamini Watanzania akili wanazo sema hawajuwi kuzitumia tu, ni wajinga wa asili na wa kusomea ujinga.
Username yako tu inasadifu wewe utakuwa mtu wa namna gani!Kwa maneno hayo ni dhahiri wewe tayari umekuwa zumbukuku tena yule aliyepitiliza kupita hao unaowasema,Bulito na Nyerere wako ni nani hadi eti watuachie laana! Ni kweli alikuwa kiongozi wa Watanzania lakini hana uwezo wa kuwaachia laaana Watanzania kwa sababu Watanzania siyo wanawe wala wajukuu zake labda huko kwenu na machawa wenzako mnaomsujudia na kumuabudu binadamu mwenzenu.
Mkuu uko roghtNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nawalaumu sana wazazi wangu na Mimi mwenyewe kutozaliwa/kuzaa nje ya Tanzania!
Sababu ya kwanza ni kwamba,hivi mzee wangu kweli alishindwa kupiga Swaga mwanamke yeyote wa Kikenya hadi azae Tanzania?,Ukizingatia kwetu hapo Tarime mjini hadi Sirari ulipo mpaka wa Kenya ni pua na Mdomo,napataga tu stori kwamba mzee wangu alikuwa na mademu lukuki wa Kikenya lakini ajabu hakuwahi hata kuzaa nao,uenda angezaa na hao mademu wa enzi zake Sasa hivi ningekuwa Mkenya nabonga zangu Ung'eng'e ulionyooka siyo kama huu wa kuunga unga ambao hata kuuongea hadi nikaze misuli ya makalio!
Pili,Upuuzi/Ujinga ambao na Mimi nimeufanya na nimekuja kushituka miaka ya hivi karibuni,ni kuzaa na mwanamke wa Kitanzania,Aisee hii kitu inaniumiza sana na najua wanangu pia watakuja kunilaumu sana kama ambavyo Mimi namlaumu Dingi!
Kiukweli Hawa watoto wangu wawili wananitosha kabisa,na siku Nilitaka watoto wengine nitajitahidi nisizae na mwanamke wa Kitanzania,Lengo langu ni hadi kufikia Mwaka 2030 nisiwe hapa nchini,napambana kutafuta pesa nisepe maana nikiendelea kukaa hapa nitashawishika na wanawake wenye Vyungu vikubwa hatimaye utashangaa nazama kuchota maji matokeo yake ni "Mbembeleze huyo mtoto"
Sababu ya Mimi kufanya hivyo ni kutotaka kuwarithisha wanangu huu ujinga/uzumbukuku wa wananchi wa hii nchi!,Unaweza kuzaa mtoto mwenye akili lakini kama atasoma na kuzungukwa na mazumbukuku ni lazima na yeye atakuwa Zumbukuku tu!
Kilichofanya ndugu zangu kuandika huu Uzi Kwa Uchungu ni namna ambavyo nafuatilia wananchi ambavyo wanaendelea kutoa maoni kwenye huo mpango wa Serikali uitwao "DIRA YA MAENDELEO" .Yaani kiukweli unawasikiliza Watanzania namna wanavyotoa maoni hadi najiuliza ni nani aliyeturoga Watanzania?,Hivi kweli suala la Watoto kuimba nyimbo za Zuchu ni la kwenda kusimama mbele ya hiyo kamati na kuliwasilisha kama hoja ya dira ya Maendeleo?kweli?,Hivi ni wapi tulikosea kama Taifa?
Yaani badala wananchi watoe mapendekezo konki ambayo yatalisaidia Taifa kupiga hatua za Kimaendeleo wao wanaleta hoja za Kijuha!,Aisee nimesikitika sana dadeeeeki!
Kuna mwengine nadhani ni kiongozi wa dini,yeye kapendekeza kabisa ya kwamba Viongozi wa dini walipwe mshahara kila mwezi Tsh 900,000/=,Nilitegemea huyo kiongozi wa dini angekuja na hoja ya kwamba,maslahi yaboreshwe Kwa Madaktari,walimu na watumishi wengine Ili kuleta uwiano uliobora katika kada za watumishi lakini yeye anakuja na hoja kijinga,Viongozi wa dini pamoja na kiwalaghai Watanzania Hawa mazumbukuku Kwa kujipatia fedha nyingi lakini bado hawatosheki!,Nilitegemea angejenga hoja ya kwamba,watumishi wote wa kidini walipe Kodi na ushuru mkubwa badala yake anakuja na hoja za kizumbukuku!
Aisee Kuna namna yawezekana hili Taifa tulimkosea chief Bulito na uenda hata Nyerere kabla ya kufa aliacha laana kwenye hili Taifa,Benjaminj Mkapa alipaswa atueleze ukweli uenda alikuwa anajua ila akakausha kila mtu afe kivyake!
Kinachonitesa ndugu zangu Mimi Nina akili nyingi mno nadhani hadi zinakaribia kumwagika,Sasa kukaa katikati ya mazumbukuku na akili zangu nyingi napata taabu sana!,Kungekuwa na uwezekano wa kuwagawia akili baadhi ya watanzania ningefanya hivyo lakini haiwezekani!
Kweli kabisa shangaziNaamini Watanzania akili wanazo sema hawajuwi kuzitumia tu, ni wajinga wa asili na wa kusomea ujinga.
Mkuu wanaopata taabu ni Watanzania wenye akili timamu nikiwemo Mimi!,Mazumbukuku yenyewe yanaona kawaida tu na yanaendelea kufurahia maisha!Hii nchi kweli ina raia wengi wa sampuli nyingi wa ajabu sana, hakuna namna ni kuendelea kuvumiliana tu.
Kinachonitesa ndugu zangu Mimi Nina akili nyingi mno nadhani hadi zinakaribia kumwagika,Sasa kukaa katikati ya mazumbukuku na akili zangu nyingi napata taabu sana!,Kungekuwa na uwezekano wa kuwagawia akili baadhi ya watanzania ningefanya hivyo lakini haiwezekani!