Nafuatilia wananchi wanaotoa maoni Dira ya Maendeleo, najiuliza ni nani aliyeturoga Watanzania?

Siku ukiamka usingizini ndio utafahamu kwanini watu wapo jinsi walivyo na wanaishi hivyo. Watu wapo kwenye usingizi mzito na hawajui kwamba wamelala hawajitambui.

KUJITAMBUA NDIO UAMSHO WAKO.
 
Aisee Kuna namna yawezekana hili Taifa tulimkosea chief Bulito na uenda hata Nyerere kabla ya kufa aliacha laana kwenye hili Taifa,Benjaminj Mkapa alipaswa atueleze ukweli uenda alikuwa anajua ila akakausha kila mtu afe kivyake!
Kwa maneno hayo ni dhahiri wewe tayari umekuwa zumbukuku tena yule aliyepitiliza kupita hao unaowasema, Bulito na Nyerere wako ni nani hadi eti watuachie laana! Ni kweli Nyerere alikuwa kiongozi wa Watanzania lakini hana uwezo wa kuwaachia laana Watanzania kwa sababu Watanzania siyo wanawe wala wajukuu zake labda huko kwenu na machawa wenzako mnaomsujudia na kumuabudu binadamu mwenzenu.
 
[emoji24][emoji24][emoji24]Moyo wang umenium san
nimetaman mfumo wa
Rais wa rwanda alisem
ambae ni mtumish lazim awe na degree ila pia kanis lisajiliwe labda wangepungua na wangekua wanatozwa kodi
TUJENGE TAIFA
 
Username yako tu inasadifu wewe utakuwa mtu wa namna gani!

ZWAZWA
 
Mkuu uko roght

Wahi hospitali laana wewe ndio kibarua kabisa wa ukichaa

Hata uliyoandika yanatisha…. Unastahili kuwa mirembe full time
 
[emoji24][emoji24][emoji24]Moyo wang umenium san
nimetaman mfumo wa
Rais wa rwanda alisem
ambae ni mtumish lazim awe na degree ila pia kanis lisajiliwe labda wangepungua na wangekua wanatozwa kodi
TUJENGE TAIFA
Kabisa mkuu
 
Hii nchi kweli ina raia wengi wa sampuli nyingi wa ajabu sana, hakuna namna ni kuendelea kuvumiliana tu.
 
Mkuu uko roght

Wahi hospitali laana wewe ndio kibarua kabisa wa ukichaa

Hata uliyoandika yanatisha…. Unastahili kuwa mirembe full time
Dalili moja wapo ya kutokuwa na Akili ni kutoelewa nyuzi za UMUGHAKA
 
Hii nchi kweli ina raia wengi wa sampuli nyingi wa ajabu sana, hakuna namna ni kuendelea kuvumiliana tu.
Mkuu wanaopata taabu ni Watanzania wenye akili timamu nikiwemo Mimi!,Mazumbukuku yenyewe yanaona kawaida tu na yanaendelea kufurahia maisha!
 
Huu ni mtazamo wa raia kadhaa mkuu, sio wewe pekee...
 
Ni kweli sometime unakuta mtu anahangaika na life lako anakuchukia bila sababu unajiuliza huyu akili yake iko wapi mbona angepambana tu maisha yangenyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…