Nafundisha soka kwa watoto kuanzia miaka 5-16 wa jinsia zote

Coach Jerry

New Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
3
Reaction score
3
Habari ndugu zangu, mm ni kijana ambaye nimesomea kozi mbali mbali za ukocha japo level yangu siyo kubwa sana lakini namshukuru Mungu kwa hapa nilipofika.

Kwa sasa nafundisha watoto kuanzia miaka 5-16 wa jinsia zote kwa zaidi ya miaka 5 sasa.

Kama kuna swali, maoni, ushauri karibuni.


link hiyo hapo kama unataka kuona baadhi ya kazi zangu ambazo nimewahi kufanya huko nyuma

Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…