Nafunga hii account yangu, nimekuwa miss kupatwa na penzi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kama kuna mtu nimemkosea naomba anisamehe, mimi sina ubaya na mtu wala huwa sihesabu mabaya. Natoa shukrani zangu nyingi kwa kampani yenu.

Shukrani za kipekee kwa mamaafacebook II huyu dada ananipenda kweli. I see a true friendship in her.

Shukrani zangu zingine kwa baby wangu najitoa humu ni muda wa kujenga family sasa. I love you japo huniamini ila jua nakupenda sana.

Asanteni sana nitapita pita kwa account mpya kuwapa hai.

Nimekuwa miss kupatwa na penzi.
 
Njoo pm jamani, kuna fursa nimekuandalia, muhimu sana!
 
unaisalti jf kwa wapuuzi wachache .... ama un mult id yote sawa....
 
Yaani pamoja makubaliano yetu umeamua kunitupa kabisa? JF jamani inalipa! Mmechukuana na Mr. Natafuta nini?
 
Hakuna sku utaacha kuingia jf hii n kama maji my friend uspo yanywa kwa sku bhas utayaoga tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anyway ndoa njema na uitunze familia yako vzr mama ndo msmamiz wa familia bora

Kina baba kaz zetu kutafta familia isilale njaa

Kilala her al the best my friend miss natafuta[emoji173]
 
nitakuja na id mpya ila sitakuwa active kiviile mkuu
 
asante kwa ushauri mkuu
 

Please usifanye hivyo Miss Natafuta tutaimis sana account yako.
 
Miss Natafuta uniambie hiyo id yako mpya mana nimekuzoea na vimbwanga vyako

Mama asanteeee nafrahi kupata rafiki mpya

Et miss kupatwa kwa penzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] hua unanifrahisha sanaaaa
 
yaani huwa nakupenda sana .huwa unaniprotect sana humu thank you friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…