Nafunga hii account yangu, nimekuwa miss kupatwa na penzi

Nafunga hii account yangu, nimekuwa miss kupatwa na penzi

wewe kama una hubby mi nakata rufaaaaaa.........
 
Jamani miss, nini tena kimekuapata? Anyway nitakupigia simu tuongee vizuri
 
yaani huwa nakupenda sana .huwa unaniprotect sana humu thank you friend
Awww [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda zaidi Mama yangu mwaka unaisha vizuri make sjawah kujutia kukufaham japo sijawah kukuona lakini hua unanifanya nicheke wallah I will miss you naomba id Yako mpya unambie ila ntakufaham tu kupitia mwandiko wako mana uko unique Sana
 
Hakuna sku utaacha kuingia jf hii n kama maji my friend uspo yanywa kwa sku bhas utayaoga tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anyway ndoa njema na uitunze familia yako vzr mama ndo msmamiz wa familia bora

Kina baba kaz zetu kutafta familia isilale njaa

Kilala her al the best my friend miss natafuta[emoji173]
Hahahaa JF ni kama Ngada ukionja tu mara moja ni ngumu sana kuchomoka [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Awww [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda zaidi Mama yangu mwaka unaisha vizuri make sjawah kujutia kukufaham japo sijawah kukuona lakini hua unanifanya nicheke wallah I will miss you naomba id Yako mpya unambie ila ntakufaham tu kupitia mwandiko wako mana uko unique Sana
Kweli naona mwaka wako unaisha vema.
In short hata mimi nakukubali.
 
we nenda tu maana ishakuwa ndo kawaida yenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujiandae na majibu yake maana akili zake anazijua mwenyewe huyo
Haa haha najua , si ndio maana namfuata nyuma nyuma.
Ila i hope anatutania hataondoka.
Mimi nitakuwa wa kwanza kum miss.
Mm ni mmoja wa watu wanaomkubali pia.
Japo najua akiambiwa ataje watu wanaomkera hapa JF mimi naweza nisikose kwenye list
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi nampenda na majibu yake ana majibu mujarrab na hajali haishi kunifrahisha Jana alinambia atakuja na id mpya nikahisi ananitania kumbe yupo serious
 
Mwsho wa mwaka ni kipind cha kuleta thread za kibinafsi za kuotea kick.ni kujidanganya
 
Back
Top Bottom