Nafunga hii account yangu, nimekuwa miss kupatwa na penzi

Good bye miss.... Usijichanganye tena huko uendako[emoji13] [emoji13]
 
Mmmh,jamani!! Sasa lile chama ulosema utaanzisha itakuwaje??
 
We bwana wewe, Mapenzi yakikuendea kombo humu utarudi tu, wenzio tunatumia jf kutupunguzia punguzia machungu ya ndani maana kuna muda unaghadhibika sana ila ukiingia JF unajikuta tu unatabasamu
 
Mkuu ukikupa ID mpya nitonye, maana sisi ni dugu moja, kule kunani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…