fishmarket
New Member
- Mar 19, 2015
- 1
- 1
Hi guys,
Nimetenga pesa kwajili ya kufungua fresh meat Butcher, kubwa na ya Kisasa maeneo ya Sinza (Meeda/Lufungira).
Butcher yangu haitauza red meat. Natazamia kuuza bidhaa zifuatazo:
1. Samaki ( Sato, Red snapper na wengineo )
2. Kuku ( wa Kienyeji na Kisasa )
3. Mayai ( Ya kienyeji )
Bei zangu zitakua za nafuu sana sababu strategy yangu ni ya kuuza kila bidhaa kwa faida ndogo.
Pia, Nitaweka huduma ya Home and Office Delivery kwa gharama ya tzs 1,000 tu!
MSAADA:
Naomba msaada wenu katika haya:
1. Wapi naweza kununua mashine ya kukatia nyama, na bei yake ni shillingi ngapi?
2. Wapi naweza kununua weighing scale kwajili ya kupima uzito, ile ya mezani ambayo ni digital na ile ya kuning'iniza inayosoma kwa mshale. Bei zake zikoje hizi mizani?
3. Nahitaji supplier atakaeweza kuniletea Sato kutoka mikoa ya Mwanza/Musoma mpaka Dar kwa bei nzuri. Nitaanza kwa kuchukua 150kg per week, then 200kg per week na kuendelea.
4. Nahitaji suppliers watakaoweza kuniuzia mayai ya kienyeji kwa bei ya jumla, bei isioumiza.
5. Nahitaji Frame ya size nzuri, isiwe ndogo. Maeneo ya Sinza Lufungira kama unaelekea Meeda.
6. Nahitaji ushauri wa Freezer za kununua na wapi nitapata na kwa bei gani.
CONTACT:
Steve,
Mob: +255787220742
ASANTENI.