Nafungua mgahawa

Hilo tangazo ilitakiwa liwe la kutukaribisha, mipango na utekelezaji ni mambo mawili tofauti
 
Muunge na shishi bby
Kuna jamaa anaitwa Shishi anatengeneza chips mayai, kuku na mishikaki maeneo ya Tabata Chang'ombe pale Mwembeni, Yaani hata iwe saa 7 usiku unapata huduma. Halafu wanawake na wadada wanazipenda chips zake tu. Utadhani amewaloga.
 
Nina eneo goba ready for use, njoo ulione. nicheki DM if interested
 
Hongera kwa wazo mkuu, ukitaka Logo, au posters kali kwaajili ya ku promote biashara yako ya mihogo PM yang iko wazi mkuu, ntakufanyia kwa bei nzuri sababu we ni jf member mwenzang!.
 
kila laheli kazi ya chakula aimtupi mtu kwani kula lazima kuoga hiyali lamuhimu uza chakula kwabei inayo endana na wateja wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…