Nafungua mgahawa

Nafungua mgahawa

alpha walk

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
215
Reaction score
206
Habari wanajamvi,

Mungu akipenda hivi karibuni natarajia kufungua mgahawa hapa Dar, kuna maeneo kadhaa nayafatilia kama nitapata mojawapo nitakuja tena kuwatangazia. Mgahawa wangu utaitwa Mihogo City tutakuwa tunauza mihogo ya kukaanga na nyama za kukaanga, samaki n.k(kama hivyo kwenye picha).

Natarajia nikiwa tayari nitapata wateja kutoka humu.

20220920_195359.jpg
 
Back
Top Bottom