Nafurahi Kujumuika nanyi baada ya kuwasoma sana!

FaruFaru

New Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Hello,

Habariza leo wapedwa! Nimatumaini yangu hamjambo na mnaendelea vizuri pamoja na ujenzi wa taifa letu lenye neema ya Rasilimali nyingi na zakutosha, kiasi ya kwamba hatukupaswa kuwa maskini kiasi hiki. Japo nchi zilizoendelea sana wamo na maskini.

Nimekuwa msomaji kiasi flani wa Jf nikivutiwa sana na mada ndani ya yake. Niimani yangu kwamba tecknolojia hii kwa njia ya mtandao tutaweza kupata mengi na kujifunza, Naamini Jf ni mojawapo ya mitandao yakuweza kutupasha habari na kutujuza mustakabali wa Taifa letu na dunia kwa ujumla. Hongera sana wewe,Yule mlioweza kubuni na hatimaye kuazisha jambo zuri (Jamii Forum) ktk jamii yetu na dunia kwa ujumla. God bless you!
Nimeamua kujisajili hapa kuweza kuleta mawazo yetu and change our minds.
Nimatumaini yangu mtanipokea kuwa miongoni na mwanafamilia wa Jf

Nawapenda nyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…