Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zote wananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.

Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.

Kazi yangu kula, kulala, kujisaidia haja kubwa, kuoga, kusoma na kufanya ngono basi.
 
Shule zimefungwa....[emoji23][emoji23][emoji23]... JF tutakom na hawa watt
 
Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zote wananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.

Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.

Kazi yangu, kula, kulala,kunya, kuoga,kusoma na kutomb.aa basi.
Naona unajitangaza kwani ushoga umeanza lini?
 
Back
Top Bottom