Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Nafurahi kuzaliwa mwanaume kwa sababu nyumbani sifanyi kazi yoyote ile kazi zote wananifanyia dada zangu ,kuanzia kupika, kufanya usafi wa nyumba,kuosha vyombo, kunifulia nguo na kunisafishia geto langu na kunitandikia kitanda.
Mpaka chakula wananitengea na nikimaliza kula sitoi vyombo mimi mtoto wa kiume bwana nitatoaje vyombo wakati madada wapo.
Kazi yangu kula, kulala, kujisaidia haja kubwa, kuoga, kusoma na kufanya ngono basi.