Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtawauwa bure jamaniYaani..ingetakiwa Jana wachezaji wa Taifa Starz ,wapewe zawadi ya fimbo zamakalio 50 kwakila mchezaji kipa ale 90, mzize 100, Jana wachezaji wataifa stz cjui walikuwa wanachezea mpira gan wakurudisha nyuma nyuma kama ..narudia tena wakitua bongo wa pokelewe na fimbo za makalio 50) tena wasipande ndege yetu wasafirishwe kwa Lori shenzi taipu
Ni mwendo wa kugalagala.Tanzania imecheza vizuri sana jana.
Kuliona hili hadi uwe na utimamu wa akili.
Goli tulilojifunga ni kawaida tu ya football.
Ni bahati mbaya tu.
Kiufupi, delivery ya wachezaji wa Tanzania ni kubwa kuliko hata ya DRC kwasabu mbili:
1. Utofauti wa mchezaji mmoja mmoja kati Yao na sisi ikiwemo benchi la ufundi.
2. Timu wanazotoka wachezaji wa Drc.
Hasira binafs za maisha kukupiga usituletee kwny Timu yetu ya Taifa.
Na Mchezaji akijifunga pia ni dalili tosha kuwa ni Mpumbavu kama vile Timu yake anayoitokea hapo / kule Tanzania.Tanzania imecheza vizuri sana jana.
Kuliona hili hadi uwe na utimamu wa akili.
Goli tulilojifunga ni kawaida tu ya football.
Ni bahati mbaya tu.
Kiufupi, delivery ya wachezaji wa Tanzania ni kubwa kuliko hata ya DRC kwasabu mbili:
1. Utofauti wa mchezaji mmoja mmoja kati Yao na sisi ikiwemo benchi la ufundi.
2. Timu wanazotoka wachezaji wa Drc.
Hasira binafs za maisha kukupiga usituletee kwny Timu yetu ya Taifa.
Ni mwendo wa kugalagalaNa Mchezaji akijifunga pia ni dalili tosha kuwa ni Mpumbavu kama vile Timu yake anayoitokea hapo / kule Tanzania.
Kwa hiyo ulitegemea watashinda? Mbona mnajipa stress za bure!Yaani..ingetakiwa Jana wachezaji wa Taifa Starz ,wapewe zawadi ya fimbo zamakalio 50 kwakila mchezaji kipa ale 90, mzize 100, Jana wachezaji wataifa stz cjui walikuwa wanachezea mpira gan wakurudisha nyuma nyuma kama ..narudia tena wakitua bongo wa pokelewe na fimbo za makalio 50) tena wasipande ndege yetu wasafirishwe kwa Lori shenzi taipu
Unajua wachezaji wetu tunawaonea tu.Ni mwendo wa kugalagala
Dah Bora kingepelekwa, kikosi cha under 21..sio kilekikos cha Taifa Aibu tupu machezaji yanajiangusha ngusha ovyo unafungwaje na kongo kama sio use...,, nchi ya kongo nivita Toka enzi na enzi lakini mpira wanaujua..sie Tanzania hata mlio wa bom hatu jui lakini wazembeKwa hiyo ulitegemea watashinda? Mbona mnajipa stress za bure!
Na ndiyo maana kuna Rais mmoja nchi Jirani alishawahi kutuita Sisi Watanzania Maiti kutokana na kuwa Wazembe na Wapumbavu na Mimi nakubaliana 100% na huyo Rais ambayo alielekeza moja kwa moja kwa Rais wa wakati huo Tanzania walipokuwa Mkutanoni jijini Adis Ababa nchini Ethiopia.Dah Bora kingepelekwa, kikosi cha under 21..sio kilekikos cha Taifa Aibu tupu machezaji yanajiangusha ngusha ovyo unafungwaje na kongo kama sio use...,, nchi ya kongo nivita Toka enzi na enzi lakini mpira wanaujua..sie Tanzania hata mlio wa bom hatu jui lakini wazembe
Wakufe tu,,wana tia Aibu mbona timu ya under 21 inawasha moto🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtawauwa bure jamani