Nafurahi sana Taifa Stars ikifungwa.

Nafurahi sana Taifa Stars ikifungwa.

Yaani..ingetakiwa Jana wachezaji wa Taifa Starz ,wapewe zawadi ya fimbo zamakalio 50 kwakila mchezaji kipa ale 90, mzize 100, Jana wachezaji wataifa stz cjui walikuwa wanachezea mpira gan wakurudisha nyuma nyuma kama ..narudia tena wakitua bongo wa pokelewe na fimbo za makalio 50) tena wasipande ndege yetu wasafirishwe kwa Lori shenzi taipu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mtawauwa bure jamani
 
Tanzania imecheza vizuri sana jana.
Kuliona hili hadi uwe na utimamu wa akili.

Goli tulilojifunga ni kawaida tu ya football.
Ni bahati mbaya tu.

Kiufupi, delivery ya wachezaji wa Tanzania ni kubwa kuliko hata ya DRC kwasabu mbili:

1. Utofauti wa mchezaji mmoja mmoja kati Yao na sisi ikiwemo benchi la ufundi.
2. Timu wanazotoka wachezaji wa Drc.

Hasira binafs za maisha kukupiga usituletee kwny Timu yetu ya Taifa.
 
Ni mwendo wa kugalagala.
 
Na Mchezaji akijifunga pia ni dalili tosha kuwa ni Mpumbavu kama vile Timu yake anayoitokea hapo / kule Tanzania.
 
Yaani..ingetakiwa Jana wachezaji wa Taifa Starz ,wapewe zawadi ya fimbo zamakalio 50 kwakila mchezaji kipa ale 90, mzize 100, Jana wachezaji wataifa stz cjui walikuwa wanachezea mpira gan wakurudisha nyuma nyuma kama ..narudia tena wakitua bongo wa pokelewe na fimbo za makalio 50) tena wasipande ndege yetu wasafirishwe kwa Lori shenzi taipu
Kwa hiyo ulitegemea watashinda? Mbona mnajipa stress za bure!
 
Ni mwendo wa kugalagala
Unajua wachezaji wetu tunawaonea tu.
Kuwalazimisha kuifunga Drc kwake, Tunawapa mitihani migumu mnoo.
Na hii sio fair.

DRC jana katimiza cleansheet ya 4..
Ana ukuta mgumu mnoo.

Hii hapa ni backline ya Drc
2.Arthur Masuku (Besiktas)
3.Gidion Kalulu (lorient)
4.Enock Inonga (Far Rabat)
5.chancel Mbemba (Marseille)

Sasa kuna mswahili wa kukatiza hiyo ngome.

Yaani unawezaje kupita hapo kwa kuwategemea akina Mzize, Bitegeko au kibu tena ugenini.

Hebu tusiwaonee watu bure..
 
Kwa hiyo ulitegemea watashinda? Mbona mnajipa stress za bure!
Dah Bora kingepelekwa, kikosi cha under 21..sio kilekikos cha Taifa Aibu tupu machezaji yanajiangusha ngusha ovyo unafungwaje na kongo kama sio use...,, nchi ya kongo nivita Toka enzi na enzi lakini mpira wanaujua..sie Tanzania hata mlio wa bom hatu jui lakini wazembe
 
Na ndiyo maana kuna Rais mmoja nchi Jirani alishawahi kutuita Sisi Watanzania Maiti kutokana na kuwa Wazembe na Wapumbavu na Mimi nakubaliana 100% na huyo Rais ambayo alielekeza moja kwa moja kwa Rais wa wakati huo Tanzania walipokuwa Mkutanoni jijini Adis Ababa nchini Ethiopia.
 
Back
Top Bottom