GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Mb 200 tangu najiunga mwezi umeisha haijapungua hata mb moja,nazitumia kwenye nokia yangu ya tochi,fanya ujinga uweke kwenye smartphone hata dakika haiishi zimekata,
kwa ujinga wako umesoma hadi mwisho
ina android ngapi mkuu maana nokia kama hizo za tochi zenye android 7.0 zinamaliza mb hadi keroMb 200 tangu najiunga mwezi umeisha haijapungua hata mb moja,nazitumia kwenye nokia yangu ya tochi,fanya ujinga uweke kwenye smartphone hata dakika haiishi zimekata,
kwa ujinga wako umesoma hadi mwisho
mkuu siku hizi namba moja kureply umekodishakweli wewe under 20
yeah mkuumkuu siku hizi namba moja kureply umekodisha