Nafuta marafiki wafanya biashara

Nafuta marafiki wafanya biashara

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Mimi naishi Arusha na nina hobby ya kufanya biashara ila muda mwingi Na Kuwa Kwenye kazi nyingine.
napenda kuwasiliana na marafiki wa jinsi a yeyote wafanya bibiashara

Napenda rafiki awe na zaidi ya miaka 30 na aliyeserious

asanteni
 
QUOTE=Mparee2;6993081]Mimi naishi Arusha na nina hobby ya kufanya biashara ila muda mwingi Na Kuwa Kwenye kazi nyingine.
napenda kuwasiliana na marafiki wa jinsi a yeyote wafanya bibiashara

Napenda rafiki awe na zaidi ya miaka 30 na aliyeserious

asanteni[/QUOTE]

Tuwasiliane mkuu, mm pia nipo Arusha and I'm interested onthat
 
Mimi naishi Arusha na nina hobby ya kufanya biashara ila muda mwingi Na Kuwa Kwenye kazi nyingine.
napenda kuwasiliana na marafiki wa jinsi a yeyote wafanya bibiashara

Napenda rafiki awe na zaidi ya miaka 30 na aliyeserious

asanteni

Ww ni mfanyabiashara, au ndio unataka kuanza..kama ni mfanyabiashara niPM..
Mm ni mfanyabiashar..
 
Back
Top Bottom