Nafuta mwanamke bikra

Nafuta mwanamke bikra

Dah nimelia sana kutokana na ongezeko hili la kasi la vichaa humu JF
Ni hizi TAKATAKA za joined 2024 up to date 2026, hovyo kabisa, nyuzi zao zote ni upuuzi mtupu, ukifuatilia ni hawa madogo ambao wamemaliza shule majuzi, JF IMEFELI KUDHIBITI UBORA WAKE.

hali ikiendelea hivi hata wenye akili timamu watakukimbia humu kama ilivyo Kwa baadhi ya social nets (Facebook+insta).

Nyuzi za aina hizi utaona zinapata wachangiaji wengi mpaka unajiuliza nini kimeikumba Jamii forum?, kumbe ni vilaza wamepata access ya free internet+cheap devices kuingia humu kupost ushuzi
 
Dah nimelia sana kutokana na ongezeko hili la kasi la vichaa humu JF
Ni hizi TAKATAKA za joined 2024 up to date 2026, hovyo kabisa, nyuzi zao zote ni upuuzi mtupu, ukifuatilia ni hawa madogo ambao wamemaliza shule majuzi, JF IMEFELI KUDHIBITI UBORA WAKE.

hali ikiendelea hivi hata wenye akili timamu watakukimbia humu kama ilivyo Kwa baadhi ya social nets (Facebook+insta).

Nyuzi za aina hizi utaona zinapata wachangiaji wengi mpaka unajiuliza nini kimeikumba Jamii forum?, kumbe ni vilaza wamepata access ya free internet+cheap device
Lissu njoo uone unao wapambania huku.


Lissu njoo uone unao wapambania huku.
Watanzania wengi hawajui nini wanataka, kupambania makondoo ya aina hii ni RISK sana maana muda wowote ule yanaweza kuku-betray.. serikali ndio inapenda majitu aina ya mtoa mada maana yanasapoti ujinga wa kuwalaza akili watu wengine..
 
Back
Top Bottom