Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ni kuelekea October Uchaguzi Mkuu baada ya Hapo hakuna lolote, Wala msiumize kichwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KizimkaziHaya mambo yanaanzia mbali hadi kuja kuyaona kwa macho mawili... Hebu tuambie singeli asili yake ni wapi?
Mimi sita shangaa Tanzagiza katengenezwa milionia kwa kuyamomonyoa maadili ya Mtanzania.Kwanamna hii sioni kwanini taifa lisilaaniwe na kuwa ndio sababu ya uholela holela wetu kwenye kila jambo.View attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Kweli singeli ni muziki wa HOVYO, Kabudi aambiwe wazi waziHuu mziki ni mchafu unachafua akili za vijana na kuwafanya wazidi kuwa masikini hakuna cha maana zaidi ya kupromote ngono na ujinga kwenye fikra za vijana maana akili inaharibika kwa kile ionacho au isikiacho
Kaanza kuzeeka ,asigombee Tena ubunge!View attachment 3241007
Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa?
Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan.
Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo wa kukosa maadili tu. Wanawake wanavaa madera mostly bila chupi, halafu wanakamata ardhi then makalio yanakuwa juu ndiyo wanaanza kuyatikisa
Kuna wimbo wa Dulla Makabila una mstari ufuatao "nakupenda wewe na huyo bwanako" ndio uwapelekee duniani utawaeleza maana yake nini? Ujinga mtupu.
Wadau wa muziki mshaurini Waziri Kabudi asitishe UCHAFU huu
Labda aujuiKweli singeli ni muziki wa HOVYO, Kabudi aambiwe wazi wazi
Ch.upi hua zinawabana..Kwahio humor hamna kyupi lol!
Unasimama na uchafu mtupuNasimama na Kabudi
Shida siyo fedha unazopata wewe kwa ku produce au alizopata Dulla Makabila kwa performance zake. Shida ni kwamba kweli muziki wa singeli ndiyo inawakikisha Tanzania? Je Waziri ametumia vigezo gani kufikia maamuzi hayo? Je amejaribu kuangalia miziki au midundo ya mikoa mingine na kushindanisha?Mimi Ni Dj wa singeli natengeneza pesa Sana kwa kuuza samples za singeli nnjee ya Tanzania soko langu kubwa lipo Japanese nimeamua kuufanya huu mziki kwangu Kama fulsa Kama dj miziki ya matusi Ni ile miziki ya singeli za kizamani zamani lakini sio kwa Sasa madj wa singeli pamoja na wasani wanamafanikio makubwa kuliko ata Wewe mleta mada mtazame dulla Makabila mjengo anao umiliki Sasa
Tena bila kumung'unya maneno. Hii si Sawa.Kweli singeli ni muziki wa HOVYO, Kabudi aambiwe wazi wazi
Waziri Kabudi AMEKENGEUKA, mzee wa jalalaniMimi sita shangaa Tanzagiza katengenezwa milionia kwa kuyamomonyoa maadili ya Mtanzania.Kwanamna hii sioni kwanini taifa lisilaaniwe na kuwa ndio sababu ya uholela holela wetu kwenye kila jambo.
Naunga mkono hoja, huku ANACHEMKA tuRais amuonee huruma huyu mzee amrudishe kwenye wizara ya katiba na sheria huku a
Rais amuonee huruma huyu mzee amrudishe kwenye wizara ya katiba na.sheria ama ampumzishe huku alipomuweka anapuyanga tu