Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

Mimi sita shangaa Tanzagiza katengenezwa milionia kwa kuyamomonyoa maadili ya Mtanzania.Kwanamna hii sioni kwanini taifa lisilaaniwe na kuwa ndio sababu ya uholela holela wetu kwenye kila jambo.
 
Your browser is not able to play this audio.
 
Kaanza kuzeeka ,asigombee Tena ubunge!
 
Mimi Ni Dj wa singeli natengeneza pesa Sana kwa kuuza samples za singeli nnjee ya Tanzania soko langu kubwa lipo Japanese nimeamua kuufanya huu mziki kwangu Kama fulsa Kama dj miziki ya matusi Ni ile miziki ya singeli za kizamani zamani lakini sio kwa Sasa madj wa singeli pamoja na wasani wanamafanikio makubwa kuliko ata Wewe mleta mada mtazame dulla Makabila mjengo anao umiliki Sasa
 
Shida siyo fedha unazopata wewe kwa ku produce au alizopata Dulla Makabila kwa performance zake. Shida ni kwamba kweli muziki wa singeli ndiyo inawakikisha Tanzania? Je Waziri ametumia vigezo gani kufikia maamuzi hayo? Je amejaribu kuangalia miziki au midundo ya mikoa mingine na kushindanisha?

Je amejaribu kuangalia maudhui ya nyimbo hizo na uchezaji wake?
 
Mimi sita shangaa Tanzagiza katengenezwa milionia kwa kuyamomonyoa maadili ya Mtanzania.Kwanamna hii sioni kwanini taifa lisilaaniwe na kuwa ndio sababu ya uholela holela wetu kwenye kila jambo.
Waziri Kabudi AMEKENGEUKA, mzee wa jalalani
 
Rais amuonee huruma huyu mzee amrudishe kwenye wizara ya katiba na sheria huku a

Rais amuonee huruma huyu mzee amrudishe kwenye wizara ya katiba na.sheria ama ampumzishe huku alipomuweka anapuyanga tu
Naunga mkono hoja, huku ANACHEMKA tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…