Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tunawakumbusha viongozi wetu kwamba, shida kubwa ya Watanzania ni Ugumu wa Maisha unaosababishwa na kuanguka kwa Uchumi na ukosefu wa ajira.
Kupiga picha na watu wenye njaa wanaotaabika kwenye kila jambo, achilia mbali kwamba ni kejeli lakini pia haikubaliki mbele za Mungu, kukusanya Masikini na kuwapiga picha ya kumbukumbu ni dhambi, kwanza unataka kuwakumbuka kwa lipi?
Tunaamini Kumbukumbu nzuri ingekuwa kuhakikisha watu hao wanaishi kwa furaha kwenye Maeneo yao ya asili bila kuwaswaga na kuwauzia Wageni, kuzalisha ajira mpya, nyongeza za mishahara, kuhakikisha bei za bidhaa zinadhibitiwa ikiwemo kuondoa Tozo kandamizi.