Nafuu ya Maisha kwa Wananchi ni Bora zaidi kuliko picha za Kumbukumbu

Nafuu ya Maisha kwa Wananchi ni Bora zaidi kuliko picha za Kumbukumbu

Yaani watetezi wa Samia mnalipwa kibwege sana, wewe ni duni sana hustahili kulipwa yaani
Hili ndio tatizo La kumind business za watu, sio kila mtoa maoni yupo kwenye payroll ya wanasiasa... Me I see things black and white... Mfano ushauri niliokupa ni ukweli mtupu, mind your business...

Hela za serikali ndio hizo mnakula huko Chadema kupitia pipe ya Ruzuku, sisi tunahustle na bado hatuna kwere... Mama akiibuka anapewa mitano tena aendelee kupave way sie tunajisogeza wenyewe taratibu...unaesubiri kujengewa na serikali, subiri ya Chadema sijui mwakagani? The time is now though.
 
Tunawakumbusha viongozi wetu kwamba, shida kubwa ya Watanzania ni Ugumu wa Maisha unaosababishwa na kuanguka kwa Uchumi na ukosefu wa ajira.

Kupiga picha na watu wenye njaa wanaotaabika kwenye kila jambo, achilia mbali kwamba ni kejeli lakini pia haikubaliki mbele za Mungu, kukusanya Masikini na kuwapiga picha ya kumbukumbu ni dhambi, kwanza unataka kuwakumbuka kwa lipi?

Tunaamini Kumbukumbu nzuri ingekuwa kuhakikisha watu hao wanaishi kwa furaha kwenye Maeneo yao ya asili bila kuwaswaga na kuwauzia Wageni, kuzalisha ajira mpya, nyongeza za mishahara, kuhakikisha bei za bidhaa zinadhibitiwa ikiwemo kuondoa Tozo kandamizi.
Wewe kila siku unasifia manyomi ya ufipa sijui huwa wanagawiwa mchele wacha watu wapiga mapicha na mpendwa wao njaa haijawahi zuia mwanga wa flash!
 
Tunakushukuru kwamba umekiri njaa kwa Watanzania
 
Back
Top Bottom