<br />Ahadi yangu ya kwanza nia kuanzisha vituo maalumu vya kupima magonjwa ya akili.Haiwezekani hali ngumu ya maisha ya watanzania tuliyonayo bado kuna watu huko Igunga wanashabikia SISIMU.Uwanja wa ndege hamna umeme,sukari bei juu,chai ni kwa mafisadi tu,bidhaaa bei juu,Reli inakufa,shirika la ndege hoi,safari za Raisi zazidi,umeme mgao umeisha yaani wamekata kabisa,maisha bora kwa kila waziri,viongozi ila wananchi hoi,mafisadi kidedea.
usilaumu njaa mbaya mkuu,lakini ushauri si ulikuwa kula pilau lakini piga kura kwa kutumia akili ?Umesahau huko Igunga bado kuna watu wanahongwa ubwabwa..mkuu kura yangu nitakupa
Nadhani kulalamika atakuwa amerithi kutoka kwa Rais aliyemtangulia yaani JK, ambaye naye huwa analalamika tu bila kutatua matatizo ya wananchi, Hadi sababu ya umasikini wa nchi yake anasema haijui kabisa!<br />
<br />
kura yangu umeikosa. Raisi gani kazi kulalamika hata husemi utatatua vipi hayo matatizo.