Nahakiki vipi namba yangu ya NIDA?

Nahakiki vipi namba yangu ya NIDA?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Nimewapigia nimewapata haya nahakiki vipi namba yangu walionitajia?

Msaada kwa anaefahamu nisije boronga mambo 😀
 
Kwahiyo hamuoni swali au wote hamjui?
 
Unataka msaada au?,
Dah! Mkuu Kama ni ktk namna hiyo hapana aisee namba ninayo isipokuwa naona Kama wamenitajia haraka tu Sasa nataka niihakiki tu Kama Kuna hiyo njia weka hapa
 
Dah! Mkuu Kama ni ktk namna hiyo hapana aisee namba ninayo isipokuwa naona Kama wamenitajia haraka tu Sasa nataka niihakiki tu Kama Kuna hiyo njia weka hapa
Hio no. Yenyewe uliipata kwa njia gani?
 
Mfano kama wewe umezaliwa tarehe 7Machi 1995 namba yako itaanza na 19950307-×××××-×××××-××.Una wasi wasi kuna uwezekano wa kupewa namba isiyo yako au.
 
Back
Top Bottom