r.i.p safari njemaNataka nihame chama kutoka CHADEMA Niende CCM Kumuunga mkono Rais
NyumbuNataka nihame chama kutoka CHADEMA Niende CCM Kumuunga mkono Rais
Mimi ni mzalendo sio lazima nilipwe
Duu hiki kiswahili kinapata shida sanaMm ni mwanachama wa CCM lakini nimesha jihudhulu kumuunga mkono rais wetu.
#nakwenda_zimbabwe
Jaribu kunisahihisha nilipokosea ili nijifunze kupitia wewe. Hakuna aliye kamilika. Natanguliza shukrani. Ndugu [HASHTAG]#mshipa[/HASHTAG].Duu hiki kiswahili kinapata shida sana
Kama mzalendo pigania nchi ukiwa mtu huru. Uzalendo siyo lazima uwe mwanasiasa. Kajiunge na polisi, jeshi la ulinzi, ualimu nk ili utumikie taifa lako. Siasa ni matatizo matupuMimi ni mzalendo sio lazima nilipwe
Hivi mh. saaaaaaaana Eddo .... rais wa mioyo ya watu ... alipohama CCM na kujiunga na timu ya makamanda CHADEMA katika zile dakika za majeruhi .... CHADEMA walimnunua kwa shilingi ngapi?Hata madiwani wa Arusha walisema vivyo hivyo. Hakuna anayetangaza kiasi alicho vuta. We nenda tu haswa ngojea siku kuu flan ya kiserekali ukakae na bango lako kuwa unahamia. Fika slalama lakini sisi hatujiiii
Kwani kaumia?je una utaalam wowote wa kuunganisha mikono?Nataka nihame chama kutoka CHADEMA Niende CCM Kumuunga mkono Rais