Nahama chama

Nahama chama

Hivi mh. saaaaaaaana Eddo .... rais wa mioyo ya watu ... alipohama CCM na kujiunga na timu ya makamanda CHADEMA katika zile dakika za majeruhi .... CHADEMA walimnunua kwa shilingi ngapi?
Edo alinunua chama yeye
 
Kwani siku unatolewa posa na Chadema ulisema? Iweje kwenye talaka upaze Sauti.
 
Hivi mh. saaaaaaaana Eddo .... rais wa mioyo ya watu ... alipohama CCM na kujiunga na timu ya makamanda CHADEMA katika zile dakika za majeruhi .... CHADEMA walimnunua kwa shilingi ngapi?

Alinunuliwa kwa kupewa tikiti ya kupeperusha bendera ya UKAWA kama rais mgombea. Hao madiwani walitoroka kwa sababu ipi?? Kama ni hivyo, wangerudisha tikiti mwishoni wakiwa na sifa hizo 2020 si ingelikuwa magoli kwa ccm?? Usilinganishe kuhama kwa Edo na madiwani njaa hawa. Walijiweka sokoni ka bidhaa za kununuliwa tu hao. Sina lugha nyepesi kwao
 
82076d7626ff0101e32e0c05d172036d.jpg
 
Alinunuliwa kwa kupewa tikiti ya kupeperusha bendera ya UKAWA kama rais mgombea. Hao madiwani walitoroka kwa sababu ipi?? Kama ni hivyo, wangerudisha tikiti mwishoni wakiwa na sifa hizo 2020 si ingelikuwa magoli kwa ccm?? Usilinganishe kuhama kwa Edo na madiwani njaa hawa. Walijiweka sokoni ka bidhaa za kununuliwa tu hao. Sina lugha nyepesi kwao
Hongereni CHADEMA kwa kumnunua Mh. saaaaaaaana Eddo .... kumbe PESA mnayo aseee
 
Back
Top Bottom