Hivi mh. saaaaaaaana Eddo .... rais wa mioyo ya watu ... alipohama CCM na kujiunga na timu ya makamanda CHADEMA katika zile dakika za majeruhi .... CHADEMA walimnunua kwa shilingi ngapi?
Hongereni CHADEMA kwa kumnunua Mh. saaaaaaaana Eddo .... kumbe PESA mnayo aseeeAlinunuliwa kwa kupewa tikiti ya kupeperusha bendera ya UKAWA kama rais mgombea. Hao madiwani walitoroka kwa sababu ipi?? Kama ni hivyo, wangerudisha tikiti mwishoni wakiwa na sifa hizo 2020 si ingelikuwa magoli kwa ccm?? Usilinganishe kuhama kwa Edo na madiwani njaa hawa. Walijiweka sokoni ka bidhaa za kununuliwa tu hao. Sina lugha nyepesi kwao