Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE
Bora uhame ndugu yangu.......mimi nimeshanyanyua virago muda sasa nipo jukwaa la wakubwa.......nimegundua mwaka huu nahitaji kujiimarisha zaidi katika hiyo nyanja......ya utekelezaji......
Haunga mkono hoja, huku MMU ni pasua kichwa tu. Ni pakupita njia tu na kuja kujitia stress. Siasani ni burdani wa sharaba hata pressure hakuna.
Karbu kijana mwenzangu!
Haunga mkono hoja, huku MMU ni pasua kichwa tu. Ni pakupita njia tu na kuja kujitia stress. Siasani ni burdani wa sharaba hata pressure hakuna.
mwekundu, chezea Mchagga wewe??Hivi jana baada ya kufumaniwa na mke wa mtu ulipona?
Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE
Nenda baba,nami niko nyuma yako.