Nahama MMU

Nahama MMU

Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE

Ulisalimika?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji, huko unakotaka kuhamia mmh!
Labda utaweza, nenda, mpe hi zito na lowasa
 
Haunga mkono hoja, huku MMU ni pasua kichwa tu. Ni pakupita njia tu na kuja kujitia stress. Siasani ni burdani wa sharaba hata pressure hakuna.

love_politics2.jpg
 
Mkuu naona unawananga kiaina jukwaa la SIHASA, mwaka mpya tuuanze kwa mambo mapya.
 
Hivi jana baada ya kufumaniwa na mke wa mtu ulipona?
mwekundu, chezea Mchagga wewe??
Jamaa alikuja na bastola, mzee nilipoinuka akaona jinsi nilivyo na mwili mkubwaa, ikabidi aniombe msamaha kwa kunisumbua, pia akaniomba nimuonee huruma nisitembee tena na mkewe kwa kuwa jamaa anaumwa ugonjwa wa moyo na presha
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE

Samahani Bujibuji vipi kile kisa chako,my wife wako na COLMAN kiliishia wapi?
 
Last edited by a moderator:
Huko soon utapumzika kwa amani,baki huku ili uendelee kufurahi na kuongeza siku za kuishi.
 
1. km ulizoea kupewa like jua umeziach MMU.

2. KM ULISAHAU BAN HUKO UENDAKO UTAKUTANA NAZO SANA TU.ILA NA HAKIKA WIKI 2 HUMALIZI UMEKULA BAN NA KURUDI CHIT CHAT FASTA
 
Mheshimiwa, lakini kumbuka misingi ya siasa ilitoka kwenye mapenzi na familia..... unafikiri kwanini rais anatakiwa awe ni mtu mwenye mke na familia?...
 
Umeona uchaguzi mkuu unakaribia unapiga hesabu ya kampeni. akuchague nani kazi kufumaniwa na wake za watu gesti
 
best kulikoni?? HAPPY NEW YEAR WAPENDWA!
 
Back
Top Bottom