Ukapumzike Jukwaa la Siasa....? Huko labda uende ukaongeze magonjwa ya Pressure na moyo....!!
Mapumziko mema mkuu
umesoma post ni ya lini
Mbona bado upo sasaNdugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE