Nahama MMU

Nahama MMU

Mara nyingi siasani huwa nafuatilia wakuu wanavyotoana mapovu. Bujibuji unakwenda kuwa mfuatiliaji kama mimi??? Kama unakwenda kushiriki actively hakuna kupumzika na ujipange haswa.
 
Last edited by a moderator:
kule hawachelewi kukupa kesi ya makosa ya mtandao, muulize YERICKO
 
Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE
Mbona bado upo sasa
 
Back
Top Bottom