Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisalimika?
Ndugu zangu wana MMU, nahama hili jukwaa pendwa. Kuwepo MMU kunahitaji akili nyingi, hekima, busara, upendo na kufikiri kwingi. Mwaka sasa umesogea na umri wangu pia.
Sitaki tena kutumia akili nyingi kusuluhisha watu wanaotatizwa na mahusiano yao.
Nahamia Jukwaa la siasa nikapumzike. Kule maswala ya kujadili ni machache tu. CCM, CDM, Mbowe, Slaa, Lowassa na Kikwete.
Naombeni sana tena sana nitumie msemo wa Ustaadhat cacico, NIWACHENI NIPWUMWUZIKE
haha haahaaaa
huko siasani unachemka ndugu yangu. mi nakushauri hamia Mambo ya wakubwa huko unaweza kusafisha macho na akili ..tehe
Natamani sana kuingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa ila nashindwa siju nipite njia gani!?
Natamani sana kuingia kwenye hilo jukwaa la wakubwa ila nashindwa siju nipite njia gani!?
Kule siasani ujipange maana kuchangia thread 3 lzm uwe na panadol pembeni tena uwe umeshiba haswaa na kumbuka kule ni kisima cha BAN bora ukapumzike jamii photo.
Hahahaha uwiii kule ndo uso utamkunyamana mpaka akome chezeiya siasan wewe!! Mi naptaga kama guest tu kule
Tena kwa afya yako bora uwe guest ivo2 km kuna ma-Pro kule wa kuamsha jazba zilizo lala utaenda unacheka utaambulia BAN.
Bujibuji najua unapima tunakupenda kwa kiasi gani
kwa nini hujahama kimyakimya?
Hata wanaotamka kuwa wanataka kujiua huwa wanapima upepo tu.
Ukihama nitakunywa supu ya pweza kwa ajili yako teh teh teh
Kweli ndoa c mchezo! nilipopanga tangu jana saa nne usiku ni jamaa ni zogo na kuvunja milango against mkewe.Kutokuaminiana, au labda hajui kukata kiuno teh teh.