Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ida dressing table nanunulia mchepukoNiko Dar es Salaam - Upanga
Kabati la vyombo 180,000
Kabati la nguo 180,000
Sofa watu 7 - 400,000
Meza watu 4.
call/sms 0752140000, 0787215011
View attachment 1931358
View attachment 1931359
View attachment 1931360
View attachment 1931361
View attachment 1931362
Unefukuzwa kazi nini jombaNi nyumba ya ofisi mkuu nikiondoka anaingia anaeletwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Fridge lipo wapi
Ya kichina hayooNataka kabati nipo nje ya dsm, mbao gani hilo kabati
Upanga?..sio vya HAMZA hivi vitu.
Kabati la vyombo plus vyombo au?Niko Dar es Salaam - Upanga
Kabati la vyombo 180,000
Kabati la nguo 180,000
Sofa watu 7 - 400,000
Meza watu 4.
call/sms 0752140000, 0787215011
View attachment 1931358
View attachment 1931359
View attachment 1931360
View attachment 1931361
View attachment 1931362
Nipangishe hicho chumba mkuu pamoja na hivyo vitu.
Kama ni bachelor kuna chumba na kijisebule sema nikuunganishe na muhusika
Mitaa gani mkuu!
Nahitaji chumba kimoja tu kama hicho, mradi kiwe self mnaita sijui…. mitaa mizuri.
Ni dar es salaam kinondoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukileta biashara JF inabidi uwe na moyo mgumu sana!
Ni kweli Mana kuna wajuaji wengi na usikute hawana lolote!Ukileta biashara JF inabidi uwe na moyo mgumu sana!
Mitaa gani mkuu hapo Kinondoni, kuwa specific.
Mkwajuni