mmariii Member Joined Jul 12, 2015 Posts 71 Reaction score 57 Jan 11, 2018 #1 Kwa ridhaa yangu mwenyewe, leo siku ya Alhamisi tarehe 11 ya mwezi januari nimeanua rasmi kutangaza nia yangu ya dhati ya kutoka CCM na kujiunga na TLP.[emoji35][emoji57]
Kwa ridhaa yangu mwenyewe, leo siku ya Alhamisi tarehe 11 ya mwezi januari nimeanua rasmi kutangaza nia yangu ya dhati ya kutoka CCM na kujiunga na TLP.[emoji35][emoji57]
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,304 Jan 11, 2018 #2 Hukatoa sababu,ili ukafanye nini?au unampango wa kuwa kwenyekiti wa parole.[emoji41]hajafa lakini.
mmariii Member Joined Jul 12, 2015 Posts 71 Reaction score 57 Jan 11, 2018 Thread starter #3 ndayilagije said: Hukatoa sababu,ili ukafanye nini?au unampango wa kuwa kwenyekiti wa parole.[emoji41]hajafa lakini. Click to expand... Nimegundua kua demokrasia ya kweli na ilani bora ya chama inatoka TLP Like hapa kama utaniunga mkono nikupe kadi ya uanachamaa...[emoji111]️
ndayilagije said: Hukatoa sababu,ili ukafanye nini?au unampango wa kuwa kwenyekiti wa parole.[emoji41]hajafa lakini. Click to expand... Nimegundua kua demokrasia ya kweli na ilani bora ya chama inatoka TLP Like hapa kama utaniunga mkono nikupe kadi ya uanachamaa...[emoji111]️
Alonso14 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,785 Reaction score 1,817 Jan 11, 2018 #4 Acha ujinga
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 6,290 Reaction score 8,600 Jan 11, 2018 #5 Alonso14 said: Acha ujinga Click to expand... Huyo anakuja cccm tuu
Hannover JF-Expert Member Joined Jul 28, 2017 Posts 443 Reaction score 574 Jan 13, 2018 #6 mbarika said: Huyo anakuja cccm tuu Click to expand... anakuja wap?