Nahamaa nilipo

Nahamaa nilipo

mmariii

Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
71
Reaction score
57
Kwa ridhaa yangu mwenyewe, leo siku ya Alhamisi tarehe 11 ya mwezi januari nimeanua rasmi kutangaza nia yangu ya dhati ya kutoka CCM na kujiunga na TLP.[emoji35][emoji57]
 
Hukatoa sababu,ili ukafanye nini?au unampango wa kuwa kwenyekiti wa parole.[emoji41]hajafa lakini.
 
Hukatoa sababu,ili ukafanye nini?au unampango wa kuwa kwenyekiti wa parole.[emoji41]hajafa lakini.

Nimegundua kua demokrasia ya kweli na ilani bora ya chama inatoka TLP
Like hapa kama utaniunga mkono nikupe kadi ya uanachamaa...[emoji111]️
 
Back
Top Bottom