Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Salosalo achana nao wakatisha tamaa. Njoo Dar uza uwezo wako kwenye shule kadhaa. Kama wewe ni mzuri utafanikiwa kwani walimu wa sayansi tena wazuri ni adimu. Kumbuka kuwa mafanikio si lazima yale kwa siku moja.